NISAIDIENI KUISHUSHA HII PIKIPIKI NIITENGENEZE.
Funfi wa kukarabati pikipiki katika Manispaa ya Morogoro aliyejitambuliwa kwa jina la Mfaume Kasanga wa pili kutoka kulia akisaidiana na wasaidizi wake kutoa pikipiki T 629 BGH katika mkokoteni baada ya kupata ajili barabara ya Veta ambapo watu walioshudia tukio hilo walidaiwa walikuwa wakilifukuza gari ambalo lilikuwa limembeba mhutuhumiwa wa wizi wa pikipiki kabla ya kupata ajali hiyo.
0 comments:
Post a Comment