UHARIBIFU WA MAZAO YA MISITU,
Mbunge wa jimbo la Morogoro Kusini Innocent Kalogeria (aliyechuchumaa chini) na Afisa wa Maliasili na Mazingira wilaya ya Morogoro Malango Andengenye wakingalia gogo lililokatwa kwa kukiuka sheria za uvunaji wa mazao ya misitu katika msitu wa hifadhi wa Mkulazi uliopo katika kata ya Selambala wilaya ya Morogoro Vijijini baada ya wananchi kutoa taarifa za utoroshaji wa mazao ya misitu magogo 60 na mbao 120 yanayokadiliwa kuwa na thamani ya zaidi ya sh 10Mil ambayo yalikuwa yakipelekwa Dar es Salaam na Morogoro mjini.
0 comments:
Post a Comment