Morogoro wakimdhibiti kijana aliyeigiza igizo la mwizi, Iddi Malekela
baada ya kupora simu na kudhibitiwa na askari hao wakati wakionyesha
onyesho la namna ya kukamata wezi kwa wageni waalikwa katika hafla ya
kumaliza mafunzo yao yaliyofanyika ofisi za kata hiyo mjini hapa.
Mkuu wa Upelelezi wa makosa ya jinai mkoa wa Morogoro Hamisi Seleman
kulia kifafanua jambo wakati wa hafla ya kumaliza mafunzo ya ulinzi
shirikishi jamii kwa vijana wa kata ya Sabsaba Manispaa ya Morogoro,
wa kwanza kushoto ni Katibu Tawala wilaya ya Morogoro Alfred Shayo na
katikati ni mkuu wa kituo kikuu cha polisi Morogoro, Thomas Kiondo.
0 comments:
Post a Comment