BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

SHERIA KWANZA USALAMA BARABARANI.


Askari wa usalama wa barabara mkoa wa Morogoro akimwandikia faini mwendesha pikipiki maarufu kama bodaboda baada ya kumkamata kijana huyo kwa madai ya kukeuka sheria za usalama barabarani katika eneo la kivuko cha watembea kwa miguu cha stendi kuu ya daladala yaendayo nje ya Manispaa hiyo mjini hapa.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: