MAHINDANO YA KAMANDA CHIALO CUP MBUNGE AONYESHA KIWANGO CHA JUU SOKA.
Mbunge wa jimbo la Morogoro mjini Abdullaziz Abood wa timu ya Moro Veteran FC akimtoka mchezaji wa Kihonda Magolofani FC Kessy Paschal kushoto wakati wa mashindano Kamanda Chialo Cup 2011 yenye lengo la kutoa elimu ya ulinzi shirikishi polisi jamii ikishirikisha timu 24 katika uwanja wa Shujaa Manispaa ya Morogoro ambapo katika mchezo huo Moro Veteran ilifungwa bao 3-0.
0 comments:
Post a Comment