

Mfanyakazi wa banda la Farmbase ya Dar es Salaam Amani Mabula akimwagilia mboga katika vipando vya banda hilo kwa ajili ya maonyesho ya wakulima ya nane nane kanda ya mashiriki katika uwanja wa Mwl Julius Nyerere yatayoanza agosti 1 mwaka huu katika Manispaa ya Morogoro mkoani hapa.
0 comments:
Post a Comment