MKUU WA MKOA WA MOROGOTRO AWEKA MASHADA KATIKA MNARA WA MASHUJAA JULAI 25, 2011.
MKUU WA MKOA WA MOROGORO LUTENI KANALI MSTAAFU ISSA MACHIBYA AKIWEKA SILAHA ZA JADI MKUKI NA NGAO WAKATI WA ZOEZI LA UWEKAJI WA MASHADA KATIKA KIELE CHA SIKU YA KUWAKUMBUKA MASHUJAA WALIOPOTEZA MAISHA KATIKA VITA YA KAGERA MWAKA 1978 NA 1979 KWA MKOA HUO KATIKA MNARA WA KUMBUKUMBUKA WA MASHUJAA ENEO LA POSTA MKOANI HAPA.
0 comments:
Post a Comment