Waumini wa dini ya kikristo dhehebu la mashahidi wa yehova wakiwa katika mafunzo ya ufalme wa mungu na uje inayoshirikisha waumini 800 kutoka mikoa mitatu ya Iringa, Dododma na mwenyeji Morogoro inayofanyika kwa siku tatu katika uwanja wa jamhuri mkoani Morogoro.
0 comments:
Post a Comment