NASUBIRI WATEJA HAPA KATIKA DUKA LA DOUBLE H FURNITURE SHOW ROOM.
MOHAMEDI KIVUMA AKIWA NJE YA DUKA LAO LA DOUBLE H FURNITURE SHOW ROOM HUKU AKISUBIRI WATEJA KATIKA DUKA HILO LILILOPO MTAA WA FONDOGORO ENEO LA GAPCO STANDI KUU YA DALADALA YAENDAYO NJE YA MANISPAA YA MOROGORO MJINI AMBAPO KATIKA DUKA HILO KUNA BIDHAA MBALIMBALI IKIWEMO MAKABATI YA VYOMBO YA NGUO, COFFEE TABLE, DRESSING TABLE NA FRIDGE PAMAJA NA FURNITURE ZA OFISINI NA MAJUMBANI AU WAWEZA KUTEMBELEA BLOG: kivuma.blogspot.com
0 comments:
Post a Comment