AFANDE CHEKI MBOGA IMESTAWI.
WANANCHI WA MANISPAA YA MOROGORO AMBAO NI ASKARI WA JESHI LA POLISI NA WAANDISHI WA HABARI WAKIANGALI MBOGA ZA MAJANI AINA YA FIGILI KATIKA VIPANDO VYA BANDA LA FARMBASE LTD WAKATI MSAFARA WA BALOZI WA INDONONESIA HAPA NCHINI UKIWA KATIKA BANDA HILO KATIKA MAONYESHO YA WAKULIMA KANDA YA MASHARIKI UWANJA WA MWALIMU JULIUS NYERERE NANENANE MKOANI MOROGORO.
0 comments:
Post a Comment