MAONYESHO YA WAKULIMA KANDAANYA MASHARIKI MWL JULIUS NYERERE MKOANI MOROGORO.
Balozi wa Indonesia hapa nchini, Yudhistiranto Sungadi akipata maelezo kutoka kwa Yassin Mashubu ambaye ni mtafiti wa zao la pamba kutoka kituo cha utafiti Ilonga wilayani Kilosa mkoani Morogoro wakati alipotembelea banda la bodi ya pamba katika maonyesho ya wakulima kanda ya mashiriki uwanja wa maonyesho wa Mwalimu Julius Nyerere Nane Nane mkoani Morogoro kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Morogoro Issa Machibya.
0 comments:
Post a Comment