BANDA LA KOIKA WARLD FRIEND MAONYESHO YA WAKULIMA NANE NANE KANDA YA MASHARIKI MOROGORO.
Balozi wa korea kusini nchini, Kim Young Hood wa pili kutoka kushoto na Mkuu wa mkoa wa Morogoro Issa Machibya wa pili kutoka kulia wakielekezwa na wataalum wa kilimo namana ya kupukuchua mpunga baada ya kuvuna shambani kwa mashine aina ya thresher wakati walipotembelea banda la Koika Warld Ffiend katika uzinduzi wa sherehe za wakulima kanda ya mashariki uwanja wa Mwalimu Julius Nyerere Nanenane mkoani Morogoro.
0 comments:
Post a Comment