HAPA ILIKUWA HIVI
HII AJALI NYINGINE TENA ILIYOHUSISHA BASI LA HOOD PALE KIJIJI CHA MSIMBA MIKUMI MKOANI MOROGORO AMBAYO ILITOKEA AGOSTI 10 AMBAPO WALISHUHUDIA AJALI HIYO WALIDAI ILITOKEA WAKATI BASI HILO KWA KUPASUKA KWA GURUDUMU LA MBELE UPANDE WA KUSHOTO WAKATI LIKILIPITA LORI KABLA YA KUTUMBUKIA KWENYE MTARO NA KUJERUHI ABIRIA 60 NA WATATU KUFARIKI DUNIA KATIKA TUKIO HILO.
0 comments:
Post a Comment