MORO KITOVU CHA AJALI ZA BARABARANI ?.
MMOJA WA WAKAZI WA KIJIJI CHA MSIMBA MIKUMI MKOANI MOROGORO AKIANGALIA BASI LA HOOD MARA BAADA YA KUTOKA KWA AJALI AGOSTI 10 KUFUATIA KWA KUPASUKA KWA GURUDUMU LA MBELE UPANDE WA KUSHOTO WAKATI LIKILIPITA LORI KABLA YA KUTUMBUKIA KWENYE MTARO NA KUJERUHI ABIRIA 60 NA WATATU KUFARIKI DUNIA KATIKA TUKIO HILO, BASI HILO LILIKUWA LINAELEKEA TUNDUMA LIKITOKEA DAR ES SALAAM.
0 comments:
Post a Comment