TABIA YA MBUNI NI USAWA KWA KWENDA MBELE HAKUNA CHA DUME WA NINI.
BAADA YA KAZI NZITO YA JIKE KUMALIZA KUTAGA MAYAI, KINACHOFUATA HAPO NI KAZI YA KUATAMIA KWA KUPEANA ZAMU YA KUATAMIA AMBAPO DUME NAYE ANAPANGIWA KAZI HIYO YA KUATAMIA NA JIKE ILI NAYE APATE NAFASI YA KUMPUZIKA.
0 comments:
Post a Comment