VIVUTIO MAONYESHO YA WAKULIMA NANENANE BANDA LA MJI MDOGO WA KIBAHA PWANI
BAADHI YA WANANCHI WAKIMWANGALIA NDEGE MBUNI KATIKA BANDA LA MJI MDOGO WA KIBAHA MKOANI PWANI KATIKA MAONYESHO YA WAKULIMA KANDA YA MASHAIRI UWANJA WA MWL JULIUS NYERERE NANENANE MKOANI MOROGORO, KWA MUJIBU WA MMOJA WA WAHUDUMU WA MBUNI HAO ALISEMA NDEGE KUWA ANA UWEZO WA KUTAGA MAYAI 36 KWA MWAKA HUKU KATIKA BANDA HILO KUKIWA NA WANYAMA KAMA PUNDAMILIA, FISI, MAMBA NA KOBE.
0 comments:
Post a Comment