LOO !, SQUASH IMESTAWI HII JAMANI.
MKUU WA MKOA WA MOROGORO ISSA MACHIBYA KULIA ALIYEINAMA AKIANGALIA MMEA WA ZUKIN (SQUASH)AINA YA DIAMANT HUKU MWENYEJI WAKE BALOZI WA INDONESIA HAPA NCHINI YUDHISTIRANTO SUNGADI KUSHOTO WAKATI WALIPOTEMBELEA BANDA LA FARMBASE LTD KATIKA MAONYESHO YA WAKULIMA KANDA YA MASHARIKI UWANJA WA MWL JULIUS NYERERE NANE NANE MOROGORO.
0 comments:
Post a Comment