BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MAJERUHI WA AJLI YA BASI LA HOOD KIJIJI CHA MSIMBA KATA YA MIKUMI.


MAJERUHI WA AJALI YA BASI LA HOOD ENOCK MATANDA RAIA WA ZAMBIA AKIMNYESHWA MAJI MAJERUHI MWENZAKE EMMANUE MODEST MKAZI WA MWANZA HAPA WAKIWA KATIKA HOSPITALI YA ST KIZITO MIKUMI BAADA YA KUKIMBZWA HAPO KWA AJILI YA MATIBABU KABLA YA KUHAMISHIWA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA MOROGORO KWA MATIBABU ZAIDI WALIPATA AJALI HIYO AGOSTI 10 MWAKA HUU KATIKA KIJIJI CHA MSIMBA MIKUMI MKOANI MOROGORO KUFUATIA KWA BASI HILO KUPASUKA KWA GURUDUMU LA MBELE UPANDE WA KUSHOTO WAKATI LIKILIPITA LORI KABLA YA KUTUMBUKIA KWENYE MTARO NA KUJERUHI ABIRIA 60 NA ABIRIA WATATU KUFARIKI DUNIA KATIKA TUKIO HILO, BASI HILO LILIKUWA LINAELEKEA TUNDUMA LIKITOKEA DAR ES SALAAM.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: