MWISHO WA MUAMMAR GADDAF WAFIKIA KIKOMO BAADA YA KUDAIWA KUWAWA KATIKA SHAMBULIO SIRTE..
WANANCHI WA LIBYA WAKISHEREHEKEA KATIKA MJI WA TRIPOL BAADA YA KUPATA TAARIFA ZA KUUWAWA KWA KIONGOZI ALIYEPINDULIWA MADARAKANI MUAMMAR GADDAFF LEO 20,OKTOBA 2011
GADDAFF ANADAIWA KUFARIKI DUNIA KATIKA SHAMBULIO LILILOFANYWA NA WAPIGAJI WA BARAZA LA MPITO LA NTC KATIKA MJI WA SIRTE.
PICHA ZA PILI IKIONYESHA SURA YA ANAYEDAIWA KUWA GADDAFF IKIWA AMETAAPAKAA DAMU NA PICHA ZA ENZI YA UHAI WAKE WAKATI PICHA ZA CHINI KABISA NI WAPIPANAJI WA BARAZA LA MPITO LILILOMPINDUA KIONGOZI HUYO WAKIWA KATIKA MJI HUO WA SIRTE.
0 comments:
Post a Comment