TOA MAONI YAKO JUU YA KIFO CHA KANALI MUAMMAR GADDAFF, JE WAPIGANAJI WA BARAZA LA MPITO LA LIBYA UNAFIRIKI WALIKUWA NA UWEZO WA KUMKAMATA AKIWA HAI KAMA ALIVYOKAMATWA SADAM HUSSENI WA IRAK, AU WAPIGANAJI HAO WALISHINDWA MBINU ZA KUMKAMATA AKIWA HAI, AU WALIZIDIWA UWEZO NA WALINZI WA KIONGOZI HUO ALIYEPINDULIWA MADARAKA ?.
TUMA MAONI YAKO IKIWA NA JINA KAMILI NA MAHALA MKOA, WILAYA, JIJI KUPITIA KATIKA KISANDUKU CHA SALAMU NA MAONI AU MAIL JUMAMTANDA@GMAIL.COM NASI MAONI HAYO TUTAYAWEKA KATIKA BLOGU YENU ILI WADAU WENGINE WAWEZE KUSOMA MCHANGO WAKO JUU YA KIFO CHA GADDAFF.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment