Askari wa kikosi cha usalama barabara mkoa wa Morogoro akichukua maelezo baada ya kutokea ajali baina ya Center T 957 BKP na gari ndogo T 716 AUB kufuatia eneo la Masika mkoani hapa hata hivyo chanzo cha ajali hiyo haikuweza kufahamika mara moja mkoani hapa.
0 comments:
Post a Comment