BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

CHINA YAISAIDIA SERIKALI YA ZANZIBA

Balozi wa China Nchini Tanzania Liu Kinsheng, akibadilishana Mikataba baada ya kusaini na Waziri wa Fedha wa Zanzibar Omar Yussuf Mzee.


Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha Uchumi Mipango na Maendeleo,Omar Yussuf Mzee, akitiliana saini na Balozi wa China Nchini Tanzania Liu Kinsheng,msaada wa kuisaidia Zanzibar katika shughuli za Maendeleo ya Jamii, utilianaji wa saini hiyo umefanyika katika Wizara ya Fedha Vuga.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: