PICHA ZA PAMOJA YA WAFANYAKAZI WA BENKI YA KCB MORO NA WAGENI WAO MARA BAADA YA KUMALIZIKA HAFLA YA KUAGA MWAKA MWAKA 2011 NA KUUKARIBISHA 2012.
MENEJA WA BENKI YA KCB MKOA WA MOROGORO CARLOS MSIGWA (MWENYE SHARTI NYEKUNDU ALIYEKAA KATIKA KITI) AKIWA KWENYE PICHA YA MOJA NA WAFANYAKAZI WA BENKI HIYO WAKIWEMO NA WAGENI WAALIKWA MARA BAADA YA KUMALIZIKA KWA HAFLA YA KUAGA MWAKA 2011 NA KUUKARIBISHA MWAKA 2011 KATIKA HOTELI YA ARC ILIYOPO AREA SIX KATIKA MANISPAA YA MOROGORO.
0 comments:
Post a Comment