SERIKALI YAWEKA MIPANGO YA KUPUNGUZA TATIZO LA UHABA WA SUKARI NCHINI
Mkurugenzi wa Sheria na Udhibiti wa Bodi ya Sukari nchini, Henry Semwaza alizungumza wakati wa warsha kuhusu mikakati ya wakulima wa miwa, maendeleo ya nishati, mimea mbadala na upungunzaji wa umasikini kupitia zao la miwa, warsha iliyofanyika hoteli ya kitalii ya Hilux mjini Morogoro.
HABARI KAMILI NA PICHA ZAIDI ENDELEA KUSHUKA CHINI.
0 comments:
Post a Comment