Mwenyekiti wa chama cha wakulima cha miwa Tanzania Daktari George Mlingwa akifafanua jambo wakati wa wa warsha juu ya mikakati ya wakulima wa miwa kuhusu maendeleo ya nishati mimea mbadala na kupunguza umaskini ikihusishwa wadau wa sekta za zao hilo iliyofanyika katika hoteli ya Hulex mkoani hapa.
Mkulima wa zao la miwi kutoka wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro Mnubi Mbone akichangia jambo wakati wa warsha juu ya mikakati ya wakulima wa miwa kuhusu maendeleo ya nishati mimea mbadala na kupunguza umaskini ikihusishwa wadau wa sekta za zao hilo iliyofanyika katika hoteli ya Hulex mkoani hapa.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment