DK. SHEIN AMTUNUKU SHAHADA DK. KARUME
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa SUZA Dk Ali Mohamed Shein,akimtunuku shahada ya uzamivu ya heshima ya chuo kikuu cha Taifa SUZA Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk Amani Abeid Karume,wakati wa sherehe za mahafali ya saba ya chuo hicho katika viwanja vya Mnazi mmoja Mjini Unguja leo.
0 comments:
Post a Comment