UJUMBE WA KRISMAS DESEMBA 25, 2011.
YESU KRISTO ALIYEZALIWA BETHELEHEMU AWE NI KIINI CHA AMANI, UPENDO, MSHIKAMANO, MAJADILIANO NA USHIRIKIANO WA KWELI KATI YA WATU WA MATAIFA KWANI YAKIFUATA HAYO KWA MOJA MMOJA TENA KWA VITENDO HAKUNA CHA DHULUMA HAPA DUNIANI WALA, UONEVU, WIZI, UFISADI N:K LAKINI JE TUJIPIME KATIKA UTENDEJI WETU WA KAZI ZA KILA SIKU KATIKA SEHEMU ZETU ZA KAZI TUKIANZA NA VIONGOZI WA NGAZI MBALIMBALI SERIKALINI, TAASISI NA MASHIRIKI:
AMEN
0 comments:
Post a Comment