HAPA AMANI IPO SANA: TUNATOA MSAADA KWA WAZEE WASIOJIWEZA KAMBI YA FUNGAFUNGA MOROGORO.
KAMANDA WA POLISI MKOA WA MOROGORO ADOLPHINA CHIALO AKIMKABIDHI HARUA SELEMAN (54) MSAADA WA BIDHAA MBALIMBALI MARA BAADA YA MTANDAO WA POLISI WANAWAKE TANZANIA MKOA WA MOROGORO (TPFNET) KUTOA MSAADA HUO KWA WAZEE WASIOJIWEZA WA KAMBI YA FUNGAFUNGA KATIKA KATA YA KICHANGANI WENYE THAMANI YA SH300,000 IKIWA SEHEMU YA ZAWADI YA MWAKA MPYA 2012 HAFLA AMBAYO ILIYOFANYIKA KATIKA KAMBINI HAPO.
0 comments:
Post a Comment