Akinamama Farida James (30) kushoto na Fatuma Bakari (44) wakazi wa jijini Dar es Salaam wakiwa chini ya ulinzi wa wananchi eneo la mtaa wa Juwata Manispaa ya Morogoro baada ya kutuhumiwa kutaka kuiba begi katika saluni ya kike kabla ya kukamatwa na kupelekwa kituo kikuu cha polisi mkoani hapa.
0 comments:
Post a Comment