MWANAUME KUHAIKA.
MKAZI WA MANISPAA YA MOROGORO AKIKOKOTA BAISKELI ILIYOSHEHENI MATUNDA NA MBOGA ZA MAJANI MARA BAADA YA KUNUNUA KUTOKA KATIKA SOKO LA MAWEZNI AMBAPO PICHA HII ILIPIGWA KATIKA ENEO LA MSAMVU BARABARA KUU DODOMA-MOROGORO AKIELEKEA KIHONDA KWA AJILI YA KUPANGA KATIKA GENGE LAKE ILI AWAUZIE WATEJA WAKE KWA BEI YA REJA REJA MKOANI HAPA.
0 comments:
Post a Comment