UVUNJAJI WA SHERIA ALAMA ZA USALAMA BARABARANI
HII NI DHALAU AU HAKUONA VIBAO HIVI AU TATIZO KUTOKUJUA KUSOMA SHERIA.
MKAZI WA MANISPAA YA MOROGORO AKIPANDA GARI LAKE BAADA YA KUEGESHA SEHEMU AMBAYO KUNA KIBAO AMBACHO KINAZUIA KUEGESHA GARI KATIKA ENEO LA KONA BARABARA IENDAYO DDC BARABARA KUU YA OLD DAR ES SALAA AMBAPO HALMASHAURI YA MANISPAA YA MOROGORO IMEKUWA IKITOZA FAINI YA SH 100,000 HADI 250,000 KWA KOSA LA NAMNA HIYO KUPITIA KWA WAKALA WAKE ALIYEPEWA KAZI YA KUSIMAMIA NA UKUSANYAJI WA USHURU WA MAEGESHO NDANI YA MANISPAA HIYO MKOANI HAPA.
0 comments:
Post a Comment