ONGOZA KITUONI.
WAKAZI WAWILI WA JIJINI DAR ES SALAAM FATUMA BAKARI (44) NA FARIDA JAMES (30) WANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI MKOA WA MOROGORO BAADA YA KUTUHUMIWA KUIBA BEGI KATIKA SALUNI YA KIKE ILIYOPO MTAA WA JUWATA AMBAPO WAMILIKI WA SALUNI HIYO WALIDAI KUWA AKINAMAMA HAO WALIINGIA NDANI NA KUANZA KUAGIZA NYWELE ZA BANDIA KABLA YA MMOJA WAO KUKWAPUA BEGI NA KULIFISHA ENEO LA TUMBO KABLA YA KUSTUKIWA MCHEZO HUO, KATIKA PICHA HII NI FATUMA BAKARI (44)AKIFIKA KITUO CHA POLISI NA MWENZAKE HAYUPO PICHANI KWA AJILI KUFUNGULIWA MASHTAKA MKOANI HAPA.
0 comments:
Post a Comment