KIJANA ALIYEFAHAMIKA KWA JINA MOJA LA ERCK AKIWA ANAWALINDA AKINAMAMA WANAOTAIWA KUTAKA KUIBA BEGI KATIKA SALUNI ILIYOPO MTAA WA JUWATA KABLA YA KUSTUKIWA NA KUKAMATWA NA KUPELEKWA KITUO KIKUU CHA POLISI WA mOROGORO AMBAPO KATIKA MAELEZO YAO WALIDAI NI WAKAZI WA JIJINI DAR ES SALAAM.
0 comments:
Post a Comment