UCHAFU ENEO LA SOKO KUU LA MKOA WA MOROGORO
Mkazi wa Manispaa ya Morogoro akitupa takangumu chini ya chombo cha kuhifadhia takangumu kufutia chombo chicho kuelemewa na uchafu eneo la soko kuu la mkoa huo wa Morogoro ambapo hali hiyo inatokana na halmashauri ya Manispaa kushindwa kuzoa taka hizo kwa wakati jambo ambalo limekuwa likileta kero kwa wafanyabiashara wanaozunguka eneo hilo kutokana na kutoa harufu mbaya mkoani hapa.
0 comments:
Post a Comment