ANDIKA HIVI HERUFI a KATIKA DAFTARI LAKO.
MWALIMU WA DARASA LA KWANZA SHULE YA MSINGI BUNGO MANISPAA YA MOROGORO ASINATH MSHANA AKIMFUNDI MWAMAFUNZI, NESTO ROBERT (7) HUKU MPONEJA MBOGO (7) WAKATI WA SOMO LA KUUMBA HERUFI a KWA WANAFUNZI WAPYA WA DARASA LA KWANZA KATIKA SHULE BAADA YA KUANZA KWA MUHULA WA MASOMO WA MWAKA 2012 KUANZA LEO NCHINI KOTE.
0 comments:
Post a Comment