NAZINDUA MRADI WA MATANKI 11 KITUO CHA KULELEA WATOTO KANISA LA TAG GOSHENI KILAKALA MORO
MKUU WA MKOA WA MOROGORO JOEL BEBDELA AKIFUNGUA KOKI IKIWA ISHARA YA UZINDUZI RASMI WA MRADI WA MATANKI 11 YA MAJI SAFI NA SALAMA KITUO CHA KUHUDUMIA WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU WA SHIRIKA LA COMPASSION INTERNATIONAL TANZANIA KANISA LA TAG GOSHENI KILAKALA MANISPAA YA MOROGORO HUKU MMOJA WA WATOTO NAOMI KANGOKA (9) AKISHUHUDIA TENDO HILO KABLA KUMTISHWA NDOO YA MAJI AMBAPO SHIRIKA HILO LILIZINDUA MATANKI 11 YENYE UJAZO WA LITA 10,000 KILA MOJA KWA VITUO 11 NDANI YA MANISPAA HIYO IKIWA NA THAMANI YA SH 59.2MILIONI.
HABARI ENDELEA KUSHUKA CHINI:
0 comments:
Post a Comment