Francisca William, akitoa maelezo ya jinsi nyumba zake mbili zilivyovunjwa na tingatinga kwa amri ya mahakama ya ardhi mkoa na hivyo kusababisha maisha yake kwa sasa kuishi katika hema hili na familia yake. Zaidi ya nyumba 50 za kitongoji cha Mateteni, kijiji cha Mbigiri, tarafa ya Magore wilaya ya Kilosa zilivunjwa na kusababisha watu zaidi ya 160 kukosa makazi.

0 comments:
Post a Comment