Mbenge wa jimbo la Morogoro mjni, Abdullaziz Abood akiangalia mtungi ambao umetengenezwa kutokana na udogo wa mfinyanzi kwa ajili ya matumizi ya kuhifadhia maji na kikundi cha Zinduka kilichopo kata ya Mlimamni wakati mbunge huyo akizundua maonyesho ya akinamama wa vikundi vya wajasiliamali wanawake Manispaa ya Morogoro ikiwa sehemu ya maadhimisho ya kuadhimisha siku ya wanawake duniani inayoadhimishwa kila mwaka marchi 8 katika ukumbi wa halmashauri ya Manispaa hiyo mkoani hapa.
HAPA Mhe Mbenge, Abood akiangalia muhogo wakati wa maonyesho ya akinamama ya vikundi vya wajasiliamali wanawake Manispaa Manispaa ya Morogoro ikiwa sehemu ya maadhimisho ya kuadhimisha siku ya wanawake duniani inayoadhimishwa kila mwaka marchi 8 katika ukumbi wa halmashauri ya Manispaa hiyo mkoani hapa. kulia ni Mwenyekiti wa vikundi vya wajasiliamali Manispaa ya Morogoro, Emilian Mtegeki.
0 comments:
Post a Comment