Sehemu ya raia wa nchini Ethiopia 98 wakiwemo na watanzania wawili wakiwa katika mahakama ya hakimu mkazi Morogoro wakisubiri kusomewa mashitaka yanayowakabili baada ya kukamatwa eneo la kijiji cha Melela wilaya ya Mvomero wakati wakisafiri kuelekea mkoa wa Mbeya kwa ajili ya kuvuka mpaka ambapo kesi hiyo iligailishwa kwa kukosa mkalimani mkoani hapa.
Hapa wakitelemka kwenye gari ndolo kutoka katika gereza ya Kihonda kwa ajili ya kusikiliza kesi hiyo.
0 comments:
Post a Comment