BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

UHURU RANGERS FC SI LOLOTE FAINALI YA LIGI YA TAIFA KUWANIA UBINGWA WA MKOA WA MOROGORO.


Mshambuliaji wa klabu ya Docks FC Shaff Omari kulia akiwani mpira dhidi ya mlinzi wa
Uhuru Rangers FC Athmani Kidu wakati wa fainali ya ligi ya taifa kuwania ubingwa wa mkoa wa Morogoro 2011/2012 katika mchezo uliofanyika uwanja wa Jamhuri Morogoro ambapo katika mchezo huo Uhuru Rangers FC ilitandikwa bao 2-0.Mshambuliaji wa klabu ya Docks FC Shaff Omari kulia akiwani mpira dhidi ya mlinzi wa Uhuru Rangers FC Athmani Kidu wakati wa fainali ya ligi ya taifa kuwania ubingwa wa mkoa wa Morogoro 2011/2012 katika mchezo uliofanyika
uwanja wa Jamhuri Morogoro ambapo katika mchezo huo Uhuru Rangers FC ilitandikwa bao 2-0.
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Docks FC Faraja Daniel kulia akimiliki mpira
huku mchezaji wa Uhuru Ibrahi Abdu akiwania mpira huo wakati wa fainali
ya ligi ya taifa kuwania ubingwa wa mkoa wa Morogoro 2011/2012 katika
mchezo uliofanyika uwanja wa Jamhuri Morogoro ambapo katika mchezo huo
Uhuru Rangers FC ilitandikwa bao 2-0.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: