
Wafanyakazi wa kampuni ya uchimbaji wa visima ya Mirisho water well drilling wakifanya kazi ya kusafisha maji kutoka ardhini kufuatia kazi ya uchimbaji kumalizika ambapo maji hayo yatasaidia kupunguza tatizo la uhaba wa maji katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Morogoro.
0 comments:
Post a Comment