MOROGORO:
Mwenyekiti wa umoja wa wanawake taasisi ya utafiti wa misiti Tanzania (TAFORI) mkoa wa Morogoro, Rehema Ngalile wa kwanza kushoto akikabidhi msaada wa cheleheni kwa Mwalimu mkuu wa shule ya msingi Bungu, Roman Luwoga Manispaa ya Morogoro ikiwemo na vifaa mbalimbali vyenye thamani ya sh281,000 kwa ajili ya wanafunzi wa wenye mahitaji maalum wa shule hiyo hafla iliyofanyika shuleni hapo na wa pili kulia ni Afisa elimu maalum Manispaa ya Morogoro Everin Wambura.
Mwenyekiti wa umoja wa wanawake taasisi ya utafiti wa misiti Tanzania (TAFORI) mkoa wa Morogoro, Rehema Ngalile akifafanua jambo kabla ya kukabidhi msaada huo.
Wanafunzi wenye mahitaji maalum shule ya msingi Bungo Manispaa ya Morogoro wakifuatilia matukio ya hafla hiyo.

DAR ES SALAAM:
MHE Mbunge wa jimbo la ubungo kupitia Chadema, John Mnyika katikati akiwa na Tshirt mara baada ya kukabidhiwa na uongozi wa ALICE FOUNDATION kufuatia kuzindua kampeni ya kupiga vita unyanyasaji wa kijinsia ambayo iliandaliwa na taasisi ya ALICE FOUNDATION wakati wa kilele cha siku ya wanawake Duniani machi 8, 2012 katika viwanja vya sanaa Sinza Jijini dar-es-salaam, kushoto ni Mwenyekiti wa taasisi hiyo Mrs Alice Mwamsojo na kulia ni Mratibu wa Miradi wa taasisi Kwame.
Sehemu ya wanawake wakiwa kwenye maandano ya kampeni ya kupiga vita unyanyasaji wa kijinsia iliyokuwa imeandaliwa na ALICE FOUNDATION huku wakiwa na bango lenye ujumbe " KATIBA MPYA IZINGATIWE HAKI ZA WANAWAKE"wakati wa kilele cha siku ya wanawake Duniani machi 8, 2012 katika viwanja vya sanaa Sinza Jijini dar-es-salaam.
Husika na lengo la Barua Pepe ,naomba kuweka matukio katika pics ya kampeni ya kupiga vita unyanyasaji wa kijinsia iliyokuwa imeandaliwa na ALICE FOUNDATION jana siku ya wanawake Duniani .8th machi 2012 Viwanja vya sanaa Sinza legho Jijini dar-es-salaam. mgeni rasmi alikuwa ni
0 comments:
Post a Comment