Mfanyabiashara wa kuuza matunda akitembeza baiskeli yenye aina mbalimbali ya matunda wakati akisaka wateja katika mitaa ya Manispaa ya Morogoro ambapo halmashauri ya mji huo ipo katika operesheni ya kuwaondoa wafanyabiashara wa bidhaa ndogo ndogo katikati ya mji katika maeneo ambayo hayaruhusiwi kufanya biashara.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment