BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MAMA MZAZI AKIWA AMEISHIWA NGUVU MARA BAADA YA KUONA MWILI WA MTOTO WAKE.

Mlinda mlango wa Polisi Moro SC Salum Kondo na mwenzake wakiwa wamembeba mama mzazi wa marehemu Beenedict Tabejo, Fornata Joseph (54) kufuatia kuona mwili wa mtoto wake wakati wa kuaga mwili huo kabla ya kwenda kuzika makaburi ya kola mkoani Morogoro.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: