BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

HAPA KWA AJILI YA KUAGA MWILI WA MAREHEMU TABEJO

Mwili wa mchezaji wa soka wa jeshi la Polisi Shinyanga marehemu, Benedict Tabeji ukiwa ndani ya jeneza muda kabla ya kuagwa nyumbani kwao Chamwino baada ya kufariki dunia April 14 kwa ajli ya pikipiki mkoa Shinganya eneo la Sanava ikihusihswa na lori aina ya scania T315 AEU katika barabara kuu Mwanza-Shinganya na kuzikwa katika makaburi ya Kola mkoani Morogoro.



Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: