DKT JK AWAAPISHA WAJUMBE WA TUME YA KURATIBU MAONI YA WANANCHI IKULU.
Rais Jakaya Kikwete akizungumza
na Makamu wa rais, Dkt, Mohamed Ghalib Bilal, Rais wa Zanzibar, Dkt.
Ali Mohamed Shein na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika sherehe za
kuwaapisha wajumbe wa Tume ya kuratibu Maoni ya Wananchi Kuhusu
Kuundwa kwa Katiba Mpya zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Aprili
13,2012.
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Tume ya
Kuratibu Moani ya Wananchi Kuhusu Kuundea kwa Katiba Mpya baada ya
kuwaapisha, Ikulu jijini Dar es salaam, Aprili 13, 2012. (Picha zote na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment