SANAMU YA HAYATI EDWARD MORINGE SOKOINE.
SANAMU YA HAYATI EDWARD MORINGE SOKOINE AMBAYE ALIKUWA WALIZIRI MKUU MIAKA YA 1984 IKIWA NJE YA KANISA LA SOKINE WAME-DAKAWA NJE KIDOGO NA ENEO AMBALO ALIPATA AJALI YA GARI NA KUFARIKI DUNIA MIAKA 28 ILIYOPITA KATIKA BARABARA KUU DODOMA-MOROGORO WAKATI AKITOKEA MKOANI DODOMA NA KUELEKEA JIJINI DAR ES SALAAM KUPINDUKA ENEO LA WAME-DAKAWA WILAYA YA MVOMERO MKOANI MOROGORO.
0 comments:
Post a Comment