Mfanyakazi wa Bodi ya Pamba Tanzania, Mathayo Gerard akipulizia dawa ya kuua wadudu katika mimea ya zao la pamba aina ya mkombozi katika vipando vya bodi hiyo kwa ajili ya maonyesho ya wakulima kanda ya mashariki yanayofanyika kila mwaka kwenye uwanja wa kimataifa Mwl Julius Nyerere nane nane mkoani Morogoro.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment