Wakazi wa kata ya Kichangani Manispaa ya Morogoro, Omari Dago na rafiki yake Mohamed Mavunde kulia wakipalilia mahindi katika shamba lao lililopo katika kata hiyo ili mimea hiyo iweze kustawi vizuri katika msimu huu wa kilimo mkoani hapo.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment