BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MAELEZO KUTOKA KWA WAKULIMA WA VIKUNDI VYA VITONGOJI VYA KIJIJI CHA PANGAWE.

                 
WAZIRI MKUU MIZENGO KAYANDA PINDA AKIPATA MAELEZO MARAA BAADA YA KUZINDUA MRADI HU.
                                                      
BALOZI WA KOREA NCHINI TANZANIA YOUNG HOON KIM KUSHOTO, WAZIRI MKUU PINDA, MKUU WA MKOA WA MOROGORO NA MKE WA WAZIRI MKUU MAMA TUNU PINDA WAKIMSIKILIZA MKULIMA WA KITONGOJI CHA MAJENGO KIJIJI CHA PANGAWE, MATATA MDIA NAMNA WALIVYOPATA HAMASA NA KUJIUNGA NA KILIMO CHA KISASA CHA MAHINDI BAADA YA KUPATA MAFUNZO KUTOKA KWA SHIRIKA LA KOICA LA NCHINI KOREA.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: